Mbegu ya zao la papai katika masoko

More
1 year 10 months ago #1 by danielkilimo
danielkilimo created the topic: Mbegu ya zao la papai katika masoko
Mbegu ya papai katika masoko makubwa jijini dar es salaam kama Ilala, buguruni, Temeke stereo na Tandika ambayo ina soko kwa sasa ni ile ya MALKIA ambayo ina sifa ya kutoa papai refu. Ingawa upo uwezekano wa kupata mbegu zisizo kuwa na ubora kutokana na uhakika wa msambazaji wa mbegu husika. Zipo changamoto nyingi katika upatikanaji wa mbegu bora.

Mbegu hii inapatikana katika maduka mbalimbali ya pembejeo jijini dar es salaam.
Attachments:

Please Log in or Create an account to join the conversation.

Time to create page: 0.078 seconds

Kilimo Forum an Agribusiness Network

P.O Box 3111 Morogoro, Tanzania, E info@kilimoforum.com M +255 (0) 684 891 717

Subscribe Us

To get more news from Kilimo Forum please subscribe below.

Copyright © 2020 Kilimo Forum.

Design & Development By One2One Consultant Ltd

Search